Artist: Abbas Kubaff
Song: Angabanga
Chorus
maichi ichi ichi dumba
angabanga, aah, Abbas Abbas maangabanga (you might have to rewind)
maichi ichi ichi dumba
angabanga... BOOMAYE!
(Angabanga!)
Intro
yeah, twende
Abbas Kubaff
2050
yeah,
na beat ni ya
Hiram
MCs watakipatapata
izi ni maichi ichi dumba angabanga
heh, vile Abbas anaroganga
yani cheki
(Angabanga!)
Verse 1
wacha niwa-spike
kama Spanish Fly kwa drink
na ma-punch lines
saa ya lunch time
badala ya ketchup na fries
rap King Solomon
nina mawazo wise
na-teach about life
na-talk about kuwa survivor
na ku-stay alive
kama wasee wa Five
si lazima ni-rap about ma-thighs
na madame na tights
wasee hu-party maweekendi
high as a kite
mitungi za pints
na-advise wasanii
wa-realise
hamja-revise ma-lines
hamja-rhyme rhyme kwa rhyme
ma-steez ya mine
mi hu-spit hadi mic ina-drip saliva (ooo-wee)
niki-dive ki-Indiye!
si tu-swim na hii flow
niki-freestyle stroke hii beat ka tilapia
wacha niwaimbie!
MCs si Abbas nawaBOOMAYE
na ma angabanga za Wakamba
nafika Mbaga si ni madimanga
za Namanga
Chorus
maichi ichi ichi dumba
angabanga, aah, Abbas Abbas maangabanga
maichi ichi ichi dumba
angabanga
aah, Abbas Abbas
Verse 2
OK one by one wacha tu-count
wangapi mna-account
zina-amount
chapaa zinatosha tu ku-go out
na kuji-knock out
na ma-Guiness stout mkpaka una-black out
ulidunda juu ulikuwa hauna back up
uka-KO kwa car park ukiwa f'd up
ma-spaghetti MCs ni ma-imposters
nataka nisikike mpaka Dar
nili-push unit zangu za kwanza, pre unit
street fight za kisanaa
juu ya German suplex
ndani ya ___
ukijaribu ku-flex na funkmaster
ukiwa na beef usiniulize swali mboga
mi ni full full MC
hata ningekuwa DJ
hakuna MC ningeogopa
na wale wa-real wote nawagota
jo tuko pamoja na ma angabanga
Chorus
maichi ichi ichi dumba
angabanga, aah, Abbas Abbas maangabanga
maichi ichi ichi dumba
angabanga
aah, Abbas Abbas
nimeshawaBOOMAYEE!